Posts

NJIA ZA KUTOBOA KATIKA MAISHA

 Ziponjia nyingi za kufanikiwa katika maisha ya mwanadamu zifuatazo ni njia mbili tu! Za kufanikiwa katika maisha    1. Kufanya kazi kwa bidii huku ukiamini utatoka kimaisha kwa namna nyingine unaweza sema kuto kata tamaa       Katika kipindi cha sasaivi watu wamekuwa na tabia yakuto amini kutoboa au kufanikiwa kimaisha naivo kukata tamaa kabisa bila kujua kuwa huhitaji kukata tamaa wakati ukitafuta maisha bali unahitaji kuamini na kuto kata tamaa kabisa  2. Kuwekeza vitu kama mazao pesa na n.k    Unapo wekeza mazao au pesa hupelekea wewe kufanikiwa kwa uharaka zaidi tafiti zinaonesha kuwa kizazi cha sasaivi hawajui kuwekeza vitu bali wanajua kutumia tu! Kituambacho kinapelekea umaskini mkubwa hasa kwa vijana wa kaline hii hivyo jifunze kuwekeza pesa yako katika mazao au wekeza benk huwezi jua ukiwekeza hera benk pia ni vizuri kuliko kukaa nayo na kuendelea kuitafuna kwa ulahisi  ikiwa benk sio lahisi kuihalibu napesa hiyo inaweza kusai...